Special thanks for...

Dah kwa tyle hiyo halistahili aisee labda Mwaka mmoja na nusu kama mimi na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Thanks Ynnah due your carin!

Mkuu, wengine hatujui kiinglishi bana. Jibugi kinyerere nasi tuambuliemo.

Sasa hapa unamaanisha umeshapona nisimamishe sala au bado niendelee kukong'oli maombi mpaka mapepo yazimie?
 
Afadhali umemuambia. Jamani anaongeaga inglishi ya kidhungu hata mie natumia google translator ndo nimuelewe atii!
Mkuu, wengine hatujui kiinglishi bana. Jibugi kinyerere nasi tuambuliemo.

Sasa hapa unamaanisha umeshapona nisimamishe sala au bado niendelee kukong'oli maombi mpaka mapepo yazimie?
 
Usikute wifi kamdunda anasema ni ajali ya pikipiki atii! Una uhakika mkiva?

Afu wajua King'asti wewe! Unajua sasa nimeshaku'declare kua kambi rasmi ya watani wangu hutaki/wataka ndo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…