Special salute! Profesa Anna Tibaijuka!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,158
Reaction score
35,713
Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanza [emoji1241]
 
Hamna kitu hapo
 
Mjinga mkubwa huyo anaumia kwa sababu fisadi mwenzake na muhaya kufurushwa bandarini? Fisadi huyo
 
Viva Prof Anna Tibaijuka.
Ameonyesha kuwa ni kichwa na bila woga ameuraua mkataba hadi viongozi walioingia kichwa kichwa kwenye mkababa wa bandari WANAONA SONI.
 
mabilion aliyowekewaga kwenye akaunti yake kupitia lile sakata la escrow aliyaludisha? tuanzie hapo kwanza
 
Kuna huyu pia

https://www.facebook.com/
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh 🤔! Ngoja tuone kuna nn behind maan hawa wanaccm hawaeleweki mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…