SURA SIO SOHO
Member
- May 18, 2011
- 43
- 10
Ya kweli haya?Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa.
My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii
Is this source reliable??
Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa.
My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii
Is this source reliable??
Niliwahi kuuliza hapa kwamba Engineer Mhando aliondolewa kwa maslahi ya Taifa au kwa maslahi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Tanesco
Katibu Mkuu ni tatizo tena sana!Katibu mkuu alipanic baada ya pressure ya Bunge!...Otherwise jamaa katika barua zake alijieleza vizuri sana, na i can see from a mere look of the eye kuwa jamaa yuko very innocent!