Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Teh teh..Tukatoe shukrani basikuliko nikupitie twende kwanini tusipige u turn turudi tu.nyumbani sasa?
Teh teh..Tukatoe shukrani basikuliko nikupitie twende kwanini tusipige u turn turudi tu.nyumbani sasa?
Mi nipo..Nilikuwish heri ya mwaka mpya nikaona kimya..Nikajua labda bado haujarudi kutoka Gamboshiwe ndo umejificha
ha ha ha Gambosh.anaendaga mshana.sio.mieMi nipo..Nilikuwish heri ya mwaka mpya nikaona kimya..Nikajua labda bado haujarudi kutoka Gamboshi