Swat : unapotosha ukweli unaposema mission hazifanywi na mossad bali shayetet 13.. Uelewe kwanza unlike TISS, Mossad imepewa majukumu ya kufanya overseas espionage activies ikiwemo covert operations em ingia kwnye website yao na usome moja ya shuguli zao.. Hao sayetet 13 unaowazungumzia ni kikosi maalum cha makomandoo wa majini. IDF ( israel defence force ) ina vikosi vitatu vya special operations
1. Sayeret Matkal hawa ndio maarufu sna ni ground invasion commandos kutoka infantry watu maarufu waliopitia hapa ni Ehud barak, B. Netanyahu na wengineo
2. The Shaldag.. Hawa ni makomandoo kutoka IAF (israel air forace) refer operation Green Island kule Misri
3. Sayetet 13 hawa ndio makomandoo kutoka jeshi la majini hata operation green island walishiriki pia.
Mossad ina idara mbali mbali lakini wakienda kwwnye covert operation wanakua na team tatu tu.. 1. Surveilance Team
2. Communication team
3. Assault team (kidon)
Ili uchaguliwe kwenye team ya kidon lazima uwe umepitia mafunzo maalum ya ukomandoo na hapa ndo wanaangalia best candidates kutoka vikosi maalum hasa sayeret matkal refer (Michael kumche interview with aljazeera) lakini kuna wakat Mossad hawawez kufanya baadhi ya operations kutokana na nature na requirements za operation hizo refer operation Spring of youth pale Lebanon ambapo target yao ilikua inalindwa na askar wa kilebanon na ilikua deep sna kias kwamba kw nature ya operations za ambazo haziko violent wasingeweza hivyo wakawasilisha plann yao IDF na Sayeret Matkal wakachukua jukumu la operation wakiongozwa na ehud barak kama kamanda wa kikos wakat huo. Lakini operation ya kumuua kiongozi wa sasa wa hamas kule jordan 1998 ilifanywa na kidon tho ilishindikana so Mossad wanakitengo cha Assasination na kaz yao kubwa ilikua baada ya Munich Massacre 1973 na ikitokea Ujasusi inabidi ufanyike ndan ya Israel au palestina bas jukumu hukabidhiwa sna kwa Yamaam au Shin bet hawa ni sawa na MI5 kw kule Uingereza au FBI kw Marekani. Tuchangie vitu kw vivid facts ila shalow zinapotosha.