special dedication kwa mimisa na manoah!

special dedication kwa mimisa na manoah!

bishanga kisiki cha mpingo we mwenyewe unajua,waonee kina Chilli uliowalisha limbwata.
Chilli haha yaani kuku cheat kote bado umeshikilia mchuma? Ama kweli ukishangaa ya musa
ntake lazi Remote yaani unanchanganya na Chimbuvu?
acha kunchakachua mtoto wa mwenzio! Halafu we Madame B wewe!

Huyooooooooooooooo Bishanga,...Unanitamani ee!!!!!!!
images
 
Last edited by a moderator:
samahani kaka bishanga eti mm nawaharibu watu humu ndani hasa w......... a............n..........a......u..........m..........e? pls nijibu
Zaeni matunda mema,
Zaeni yenye baraka,
Bwana atayapokea,
Yatabarikiwa naye,
Zaeni ya heri.
Source: tenzi za rohoni
Nawatakieni heri,baraka na furaha tele katika fungate lenu na kila mkitofautiana kumbukeni kusameheana 70x70.
The weak never forgives,the strong always do...Mahatma Ghandi.
Nawasilisha,
Bishanga Abashaija,
Ziarani Pemba.
 
Utajibeba Bishanga...... mie ndo Madame B, mtoto wa Kinondoni.
Nimezaliwa Muhimbili, na kitovu changu kimezikwa Tua-Tugawe.
Beach zote nimeogelea wewe, michezo yote ya hatari nimecheza.
Kuanzia kombolela, yai bovu.....mpaka kibakubaku.

nimeipenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom