special dedication kwa mimisa na manoah!

special dedication kwa mimisa na manoah!

Yaani Mamndenyi nikupe siri, waume zangu hawa hata hawaoneani wivu.
maana haki zote wanapata kwa usawa.
images
Waone hapo walivyofurahi sasa.
COPY: Arushaone.

si bure iko namna!
 
nikutonye na utoto wako uyajue
ukisikia mahela ujue ni mafurushi na hayo yanapatikana sehemu maalum
na lazima utoe sadaka maalum sasa wewe anytime Bishanga atakutoa
wewe.
za Mr Rocky ndiyo pesa halali kwa malipo halali, hizo hazina kutoa sadaka
maalum, kwa kuwa kazitafuta kihalali.
nakupa kama siri tu.

kuachwa kubaya!
 
Afu wewe, kwani jana ulikimbia Bill?

Asingekuwa Papa Erickb52 ningeosha vyombo ujue?

Chocs nikupe oloza ya mabibi zake Erickb52 kuanzia wa praimari,sekondari mpaka Chuo? Changanya na wa arachuga,Tanga,mwanza (alikofumaniwa akaswekwa lupango),dar ndo usiseme mwananyamala Ana mtoto,keko magurumbasi hawara,buguruni kwa malapa kimada,kawe mnyamani mke mdogo.......una ubavu niendelee?
Kopi best wake Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom