Haswaa....Tena mwambie asikuzoeeeeee
ana hasira na wewe.Unamfuata fuataAna hasira ya nini?
manoah kijana wangu naomba utulie na mkeo...
mimisa mama mpende mumeo...
Chukueni mfano wetu mie na mke wangu Zion Daughter
We The secretary si umeniaga unakwenda saloon? Unafanya nini huku?
Hee kumbe hawakuachana?????
manoah upo wapi?
Una hatari wewe figganigga,unafanya nini na mke wa mtu?
Mia
Dady ! Mama mdogo The secretary nili mkuta dukani kwa mpemba analia
Madame B unawapaga nini hawa mpaka wanasahau majina Yao wanajiita mister b?