ha ha ha ha ha ha..hapa zitafika hata kumi
relax kama anakupenda atakulinda
unasaport ujinga umesahau mie nani ee
atanilindaje kwa haya niyaonayo??
bamkwe umesahau?. manoah yuko kwako wiki ya pili ss..hajatia maguu nyumbani
mbona sikuelewi?
mbona sikuelewi?