special dedication kwa mimisa na manoah!

special dedication kwa mimisa na manoah!

Kwikwikwikwi maghumashi
Yaani Mamndenyi nikupe siri, waume zangu hawa hata hawaoneani wivu.
maana haki zote wanapata kwa usawa.
images
Waone hapo walivyofurahi sasa.
COPY: Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
nikutonye na utoto wako uyajue
ukisikia mahela ujue ni mafurushi na hayo yanapatikana sehemu maalum
na lazima utoe sadaka maalum sasa wewe anytime Bishanga atakutoa
wewe.
za Mr Rocky ndiyo pesa halali kwa malipo halali, hizo hazina kutoa sadaka
maalum, kwa kuwa kazitafuta kihalali.
nakupa kama siri tu.

Bishanga hana hela ana mahela usikofuzi hela na mahela Mr Rocky ndo mwenye hela
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom