special dedication kwa mimisa na manoah!

special dedication kwa mimisa na manoah!


Chocs nikupe oloza ya mabibi zake Erickb52 kuanzia wa praimari,sekondari mpaka Chuo? Changanya na wa arachuga,Tanga,mwanza (alikofumaniwa akaswekwa lupango),dar ndo usiseme mwananyamala Ana mtoto,keko magurumbasi hawara,buguruni kwa malapa kimada,kawe mnyamani mke mdogo.......una ubavu niendelee?
Kopi best wake Kongosho
 
Last edited by a moderator:
nikupe oloza ya mabibi sake Erickb52 kuanzia wa praimari,sekondari mpaka Chuo? Changanya na wa arachuga,Tanya,mwanza (alikofumaniwa akaswekwa lupango),dar ndo usiseme mwananyamala Ana mtoto,keko magurumvasi hawara,buguruni kwa malapa kimada,kawe mnyamani mke mdogo.......una ubavu niendelee?
Kopi best wake Kongosho
Sasa hii mbona hali ya hatari..........
 
Mh, babu Bishanga wew mtundu..
Hatujawahi tumia coz hakuna hata siku moja kumewahi kua na dalili ya mvua..........!
 
Last edited by a moderator:
Mh, babu Bishanga wew mtundu..
Hatujawahi tumia coz hakuna hata siku moja kumewahi kua na dalili ya mvua..........!
pendaneni,
Pendaneni,
Kama nilivyowapenda,
nanyi pia,
Mmpendane.......
Sos: kwaya
 
Last edited by a moderator:
jamani sijasema wa hiyari Bishanga nimesema wa moyoni.
hebu kaka yangu wa moyoni Mr Rocky njoo umwambie huyu kibabu mimi na wewe tukoje a tumetoka wapi.

Mashemeji wangapi,
Mimi nimechoka,
Tena najiuliza sana,
Wanatokea wapi,
Eti Mr Rocky naye ni shemeji yangu....
Mamndenyi........stuka!
Sos: mbara mwinshehe mwaruka (RIP).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom