Ya dunia ni yepi na ya kibwetere ni yepi?
Babu Bishanga maneno gani tena hayo??Mke wangu una akili sana.......mwambie Rich woman maneno ya majigambo aliyokwambia manoah kuhusu yeye.
Tuhuma zipi tena hizo????Mi nilishabwaga manyanga kitambo sanaaaUna tuhuma Rich woman
Hee. huyo ni shemeji na hawezi fanya hivyo me namfahamu..........we endelea ivo ivo kua muharibifu...
Nimekununia!
Lolz