Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Hee kumbe hawakuachana?????
shangaa na wewe
Hee kumbe hawakuachana?????
The secretary ana akili nyingi sana.
nikupendeje?the only and true one hao wengine mbwembwe tu cc: Mamndenyi
naoma nipate lau nafasi,unakumbuka ujumbe wako nipe nafasi kidogo niseme naye oooh moyoni naumiaa, nikauchuna tu
shangaa na wewe
salam aleikum Erickb52,una tuhuma za kumpotosha manoah kwa kumfundisha uzanga.Mimi leo nimekaa nawatazameni tu. Hamjambo?
hahahahahaaaaa hao wangu hivi mchana nilikuwa nao lunch.
kopi: stevoh
Yours is marriage made in heaven stevoh......haina mfano humu jf kwa raha na utulivu wake.
Zion Daughter you are the best wife.
Sasa si kwa sababu walikuwa wanakula hela yako ndo maana hawakuweza kukusuta ngoja wapewe mshiko uone watakavyokusuta
copy Madame B na Zion Daughter na stevoh
wikiendi hii tutawapeleka kwa baba paroko kwa ajili ya suplementary ya semina elekezi ya ndoaMatron Zion Daughter na best man stevoh hakikisheni hii ndoa inadumu na kudumu, mshenga Arushaone jukumu lako unalijua vyema,nyakanga gfsonwin mweleweshe mimisa maana ya unyumba.