Special Case!! Authorized Mchepuko..

Usijali mpenzi, karibu tena nyumbani, mwana mpotevu anaruhiswa tena nyumbani mwa baba yake..

Ningependa uwe wangu wa pili, u mrembo sana dada.. hivi ushajiuliza kwanini nimekuchagua wewe?

Love ni automatic unajua... come to me hunie!

Mmmh.ibls huyu.muone anavo lainsha watoto wa watu...😡😡
 
nikwambie kitu kan'?

wewe ni mrembo sana, nadhani unajua hilo!

ila kuna kitu kimoja tu unakikosa...!

Kipi hcho...we kiwatengu m1 amuachie mwenzie niwe authorized basi...ntawa bwaga wote
 
Last edited by a moderator:
unataka kuwa wapi sasa?
back page ama?

Niache kwanza si unajua mambo ndo yapo mwanzoni sasa na huyo jamaa kama unavyomjua ana vimada balaaa sitaki tuanze kuharibikiwa na safari mapema hiyo
 
Niache kwanza si unajua mambo ndo yapo mwanzoni sasa na huyo jamaa kama unavyomjua ana vimada balaaa sitaki tuanze kuharibikiwa na safari mapema hiyo

unawaogopa vimada?
we si ndiyo halali?
 
😱😱😱 koh koh koh...mmh.nsje pelekwa mstu wa pande miee.wakan dokta mvungi

Hahahaha na nakuona unavyoendelea kuchart na shemeji yangu mie nakuangalia tu hivi haumjui mkewe?Anaweza akakufosaro maana anamiliki gobole alipewa na babu
 
Hahahaha na nakuona unavyoendelea kuchart na shemeji yangu mie nakuangalia tu hivi haumjui mkewe?Anaweza akakufosaro maana anamiliki gobole alipewa na babu

mbona hakuna ubaya hapa? nothing worse kabisa.
 
Mmimi niko na Mrembo by Nature!

hebu cheki msosi niliomuandalia mrembo wangu..!

karibu sana malikia!


Leo nakulisha romantically mpaka kieleweke!
 
Last edited by a moderator:
Mmimi niko na Mrembo by Nature!

hebu cheki msosi niliomuandalia mrembo wangu..!

karibu sana malikia!


Leo nakulisha romantically mpaka kieleweke!

saa saba kasorobo..
duh, sema kama mnalishana ule msosi mwingine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…