yani kan'tangaze anatuthaminisha?huwezi kupata ushauri kwenye maswala kama haya.
amua mwenyewe.
jamani ya nini kututhaminisha sasa? Excel ni ndugu yangu we can not compete
yani kan'tangaze anatuthaminisha?
ayayaaa! hapo kaharibu sana! bro nitume tena nikalete manzi mpya tumuamshie bhana!
si unakumbuka nilivyomleta mrembo charty? very interesting...
is this from you?
nice nice, ulishamsumbua sana jamaa,
ni vyema sasa kama mko pamoja...
Yaishie hapa hapa sitaki yafike kwenye udaku nisije kung'olewa kucha bureeeee????
u girl...!!!
π±π±π±πππ wanatka kuku ulmboka???
ha ha ha ha...afu umenikumbusha udaku asee!!
will do that soon...
Usijali mpenzi, karibu tena nyumbani, mwana mpotevu anaruhiswa tena nyumbani mwa baba yake..Mie nilihama kijijini hiki. Wazee wenu hawawezi nikubali