janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
ngoja nitaweka picha tulikumbatiana ndio utatia akili....
Hakuna kitu kama hicho ulie tu
ngoja nitaweka picha tulikumbatiana ndio utatia akili....
Acha kumshusha my dady kiivo...
Hakuna kitu kama hicho ulie tu
una bisha niweke....?
na mshushia wapi...? wakati ndio ukweli huo!
Uweke nini kati me najua hamna kitu ka hicho...
Me ndo namwelewa my dady vizuri.....
Me ndo namwelewa my dady vizuri.....
how is your mom?
Mh....
unafikiri nilizifuta...?
Ask her husband..
janeth mkali!!!
but you live in the same house
Ask her husband..
hello shem...
unaifahamu ngoma ya kikwetu?...
Unguna, unashangaa, umuduwaa???