Jamani dadiii unaniuliza aliko huyu babu me sielewi atakuwa kwa wake zake labda.
Huyu babu tuna mdai Mimi Na mama yako!
Tulimpa Pesa akaolee wake zake!
Haahaahaaaaaaaa mom una madongo....
I love your mother, and don't forget that I am the one who paid for your school fees
bado tu hujamalizia?
kesho... ni....
Yaani eti nahangaika wakati tumeshamalizana....mwambie ukweli dadii wako....
Hakuna kitu kama hicho na haitatokea, siwezi kumwambia my dady uongo.
Huwezi mzeeee my dadii ana ulinzi mkali, kama uliaidiwa imekula kwako uliingizwa choo cha chekechea.....
eti ulinzi mkali, wale paka anaofuga ndio ulinzi mkali...?