endelea kukomaaa... true love never die
heeeeeeeeei!!!
naona sasa umeshalogwa wewe
ni afadhali nimeona kwa :A S-eek: bila kuambiwa
haya endelea naye huyo huyo usinifuate
nisijetoa panga kavu hapa
pole pole basi nawe mpenzi!
kwani mkiwa wawili kuna shida?
si nna uwezo wa kuwahudumia? shida nini?
hebu njoo kando yangu, ntakupa kila aina ya soft touch..!
come to me honey!!
aiseeeeeeee ni zaidi ya tuko wangapi mama na mwana kwa kapu moja kiwatengu nabwaga manyanga
My husband sio limbukeni kama wewe. Hata angekuwa ulaya anamaintain culture
Wacha nimsifie my husband mie...
mkuu kwani kunani tena?
ngoja niwaulze ndugu zangu
dada ake mimiiiiiii Khantwe na my twin charminglady. Eti kat ya hao mnamtaka nan nchepuke nae hapo??
Twin kan'tangaze, unajua Khantwe naye ni twin wangu. So we are now triplets!
Mwanangu hivi huyu mumeo kalishwa na nini hivi ameshanisahau alivyokuja home kwa bi mkubwa kutoa posa
ananisarandia na mie au kachanganyikiwa nini? itabidi tumwite binamu kabanga na wale wazee waje kumuwekea kikao naona sasa ameshalogwa huyu yaani angalii mtu wa kumchagua yeye awe mamamkwe anapeleka nondo yake sijui tufanyaje hebu mchunguze uenda zile medula oblangata zimeshadata
kwani zamani alikuwaga na nani huyu braza!?
karibu tena.
hapa umeishi sana na hakuna haja ya kukumbushana tena, nyumbani ni nyumbani mrembo...
yamekuwa haya tena?
nini,huelewi kwani?