Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

Matusi yote ni sehemu ya maumivu aliyopata kama mtumishi maalum wa umma
 
maswali Ni mengi kuliko majibu! kama ukiruhusu akili yako ifanye kazi vizuri
 
NEVER FOREVER trust chama cha MAKINIKIA
 
Mruma ni mtu wa idara kazi ya taifa kamaliza sasa endelea kutukana

Sent using Jamii Forums mobile app
mie sijatukana, niliona uzi humu ndani ukimsema sana na sio hapa karibia mitandao mingi yenye watu kutoa dukuduku lao, kumbe na yeye anasign mikataba, anakula mlungula, yuko kazini, nyie kijani mnajua kutuchezesha ukuti ukuti kweli aisee
 
uongo mtupu.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Hahhahhaa.. .what a slippery cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ndani ya CCM wapo wengi waliopenyezwa ndio maana tunapata wagombea makini!
What if ukiambiwa waliojipenyeza ndani ya CDM?
Sawa pia kama wapo ndani ya CDM kama lengo ni njema kwa manufaa ya wantanzania, unakubali ccm ndo matatizo ya nchi hii?
 
Magufuri hongera kwakuliweka wazi kuhusu prof mruma usingeweka wazi ungezushiwa mengi xafi sana najua walobaki wataenderea kufanya hzo Kazi maana mruma saivi ataogopwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Serikali ya JMT ilianza lini?Wewe toa pongezi tu kuna maswali hayana majibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe shida yako pongezi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…