Speaker, unaijenga CHADEMA in the open

Speaker, unaijenga CHADEMA in the open

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,919
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?

Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
 
Zambi kakubaliwa miongozo mara mbili,huyu ana roho mbaya kama yeye
 
Nimeona, nikainama...nikasema bunge linanajisiwa na mtu wa kike..the poor madam supika
 
It is disgrace indeed yaani hao ma CCM wanaoitwa ma Dr, Prof nk wote chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hakuna kitu wanawaza kwa matumbo for sure .Chadema hao mwisho wake mtauona
 
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?

Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?

Linyungu umenena vema lakini wabunge wangu wa CHADEMA wamekosea kama makinda analazimisha kwa nguvu walichotakiwa wao ni kutoka nje nili wasiwe sehemu ya bunge kukaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara husika wakati kimsingi akidi ya wabunge haitoshi na kanuni zinasema hivyo,na mbaya zaidi Makinda wala hakuhangaika ku-veryfy kama akudi inatosha ili bunge likae kama kamati.
Ni uc hungu mkubwa sana kuona kodi zetu zinapotea bure
 
tangu lini umerudi CCM??? baada ya kupona au kabla?
 
Linyungu umenena vema lakini wabunge wangu wa CHADEMA wamekosea kama makinda analazimisha kwa nguvu walichotakiwa wao ni kutoka nje nili wasiwe sehemu ya bunge kukaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara husika wakati kimsingi akidi ya wabunge haitoshi na kanuni zinasema hivyo,na mbaya zaidi Makinda wala hakuhangaika ku-veryfy kama akudi inatosha ili bunge likae kama kamati.
Ni uc hungu mkubwa sana kuona kodi zetu zinapotea bure

Hivi Wabunge wanajisikiaje haya yakiwa yanatokea under their watch ?
 
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe
 
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?

Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!.

Akidi haijatimia!, ila kwa vile wabunge wote ambao hawapo, wameomba rasmi ruksa kwa spika, hivyo ni spika ndiye anajua wako wapi, hiv
yo hata kama wanaonekana hawapo physically, uwepo wao by imagination upo, hivyo wanahesabika wapo, na akidi imetimia!.

Nilisema juzi juzi, hawa wabunge wa Chadema, wanatuharibia sana bunge letu!. Wanamkosesha amani spika wetu na naibu wake kwa kuwaendesha puta, hadi kukiuka/kuvunja, kupindisha na kuunda kanuni mpya kinyume cha sheria!.

Nilishauri, kama Chadema wamekuwa mwiba hadi kugeuka kero, bora hiki chama kifutwe tujue moja!.

Pasco.
 
Hiyo ndiyo ccm, sikuzote mtawala akihisi au kujua anaweza kufanya chochote na hakuna wa kumfanya lolote anakuwa mbabe na ubabe unamfanya ashindwe au aache kuwaza na kufanya lolote analoona linafaa hata kama halina maana. Katiba iwe na check and balance kwenye kila secta. Spika wa bunge awajibishe kwa kufanya maamuzi ya hovyo
 
alaaniwe mtu huyu anaepindisha sheria mbele ya macho yetu na dunia!
 
Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!.

Akidi haijatimia!, ila kwa vile wabunge wote ambao hawapo, wameomba rasmi ruksa kwa spika, hivyo ni spika ndiye anajua wako wapi, hiv
yo hata kama wanaonekana hawapo physically, uwepo wao by imagination upo, hivyo wanahesabika wapo, na akidi imetimia!.

Nilisema juzi juzi, hawa wabunge wa Chadema, wanatuharibia sana bunge letu!. Wanamkosesha amani spika wetu na naibu wake kwa kuwaendesha puta, hadi kukiuka/kuvunja, kupindisha na kuunda kanuni mpya kinyume cha sheria!.

Nilishauri, kama Chadema wamekuwa mwiba hadi kugeuka kero, bora hiki chama kifutwe tujue moja!.

Pasco.
Katika maamuzi magumu na hasa bunge linapokaa kama kamati kupitisha bajeti,wakiwa wanaipitia kifungu kwa kifungu kutoa udhuru kwa mjumbe wa kamati husika na ikapelekea hata ile nusu ya wajumbe ikawa haijafikia hakuwezi kuhalalisha maamuzi hayo yakawa yameamuliwa na kikao halali.kimsingi mama huyu ni tatizo kabisa,na nilikuwa najiuliza ni kwanini hakutaka hata kujiridhisha?kanuni haisemi kuwa kama wabunge wameomba ruhusa kiasi cha kuathiri akidi kwa kiasi kikubwa hivyo ni makosa makubwa.
 
Nimeona, nikainama...nikasema bunge linanajisiwa na mtu wa kike..the poor madam supika
Issue siyo mtu wa kike bali spika anatakiwa awe mwanasheria na siyo Mhasibu kama alivyo wa sasa. Tena asitokane na chama cha siasa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?

Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Fighting breaks out in Venezuela's parliament
hedstrom20130501051039847.jpg

Venezuelan parliamentarians fight in the National Assembly, April 30, 2013.

Mkuu nakubaliana na wewe, huyu spika anatia kichefuchefu.

Maamuzi yake ni ya kibabe yasiyokuwa na tija kwa wananchi wa Tanzania ambao wanalitegemea Bunge lao kuwa ni sauti yao. Na haya yote yanafanyika 'under the guise of democracy' eti walichaguliwa na wananchi na kupongezana ya kuwa nchi yetu ni ya kidemokrasia. Nchi yetu imekuwa nchi inayoongozwa na serikali ya mabavu, na hata Bunge lililochaguliwa na wananchi kwa sasa lipo kulinda na kutetea maslahi ya walio madarakani tu. Vyombo vingine vyote vya dola ni hivyo hivyo, tunageuzwa watumwa nchini mwetu na kuna watu wengine wanashangilia na kuona kila anayesimama kutetea haki za wanyonge kama mhaini.

Ninaamini katika idadi yetu ya watu zaidi ya milioni 44, wenye uchungu na nchi yao ni wengi kuliko hao mafisadi. Tukiamua wote kwa sauti moja hawataweza kurudi madarakani. Ila kabla ya kufika 2015, kwa mwendo huu wananchi watateseka sana. Lakini tujipe tumaini ya kuwa tulipofika sasa ni kwenye hatua za mwanzo za uchungu wa uzazi. Itazaliwa nchi mpya yenye uongozi mpya na matarajio mapya. Haitakuwa rahisi, lakini itawezekana!

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe
Usijichukie. Tatizo la baadhi ya akina mama ni bootlickers. Wengine ni very strong like the late Ironlady Margareth Thatcher.

Back
Top Bottom