Speaker, unaijenga CHADEMA in the open

Speaker, unaijenga CHADEMA in the open

radhia muuupenzi this womani iz edekteta always she has assumed to make her judgement by assuming that no one is above her rule!
Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
 
Hasira zake za kutokuwa na mume ndo anazimalizia kwa Wabunge wa CHADEMA!

Sent from BlackBerry
 
Hata mimi nilikuwa naangalia TBC, leo jioni,wakati Tundu Lissu,anauliza utaratibu kama bunge Liberia kuendelea kuipitsha bajeti ya wizara ya sheria na katiba, wakati idadi ya zaidi ya nusu inayotakiwa kwa mujibu wa kanuni za bunge,hawamo katika kikao hicho cha bunge.

Latino kwa mshangao wa wabunge wengi, spika huyo hakutaka kujiridhisha ili ahakiki kuona wabunge waliomo bungeni wakati huo wanazidi nusu kama kanuni inavyohitaji, badala akajibu kibabe kuwa kikao kiendelee, kweli sasa hata kwa yule aliyekuwa haamini,hivi sasa atakuwa amepata ushahidi usio na shaka yoyote kuwa kumbe CCM wamempa uspika huyo mama Makinda,ili akibebe chama hicho hata kama itakuwa ni kwa kuzivunja kanuni wazi wazi!!
 
semamba.jpeg Angekuwa walau amepitia walikopita wanawake wenzake asingekuwa namna hii.
 

Attachments

  • kidude.jpeg
    kidude.jpeg
    1.8 KB · Views: 113
Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
No, her behaviour is typically for any woman who has never been a 'woman', has never had a boy/man friend, gone to fetch water nad carry it by her head, felt what it means by missing a man
 
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe


Pole sana kwa kujichukia dada angu najua uliumia sana maana speaker Makinda ndiye aliyebeba twaswira ya wanawake wote Tanzania katika nafasi kubwa kama ya speaker of the Parliament. Tuliona Migilo kwenda omoja wa mataifa nae akarudi [Hatujui kikubwa ni nini kilichomrudisha; tetesi ni kuwa she was incompetent
 
Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe

Huyu madame speaker ndo amebeba taswira ya wanawake jinsi mlivyo na maamuzi myachukuayo once you women are given high posts as such as`hers.
 
Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!. Akidi haijatimia!, ila kwa vile wabunge wote ambao hawapo, wameomba rasmi ruksa kwa spika, hivyo ni spika ndiye anajua wako wapi, hiv yo hata kama wanaonekana hawapo physically, uwepo wao by imagination upo, hivyo wanahesabika wapo, na akidi imetimia!.Nilisema juzi juzi, hawa wabunge wa Chadema, wanatuharibia sana bunge letu!. Wanamkosesha amani spika wetu na naibu wake kwa kuwaendesha puta, hadi kukiuka/kuvunja, kupindisha na kuunda kanuni mpya kinyume cha sheria!.Nilishauri, kama Chadema wamekuwa mwiba hadi kugeuka kero, bora hiki chama kifutwe tujue moja!. Pasco.
Ukiwasiliza na kutazama wabunge wetu kilicho dhairi siyo tu ushindani wa kisiasa, sasa hivi kuna uadui dhairi wa personality. Kuna wabunge wakisimama tu kuna wenzao wanaanza kutoa maneno makali na ya chuki hata kama hawajaruhusiwa kuzungumza, na spika anamezea. Ile dhana kwamba wakiwa nje ya ukumbi wa bunge ni marafiki sina hakika kama ni sahihi kihivyo!
 
Nmepata kusoma humu jamvini Mh Sugu anashauri kusiwe na sala wakati wa kuanza shughuli za bunge,kwa vile viongozi wa bunge wanamtania MUNGU dua wanayoimba ni unafiki hawana busara na maamuzi yao mi kinyume na mapenzi ya Mungu ni heri kila mbunge amuombe Mungu kivyake kuliko fhihaka ninazoziona viongozi wa bunge wakifanya.
 
Katika maamuzi magumu na hasa bunge linapokaa kama kamati kupitisha bajeti,wakiwa wanaipitia kifungu kwa kifungu kutoa udhuru kwa mjumbe wa kamati husika na ikapelekea hata ile nusu ya wajumbe ikawa haijafikia hakuwezi kuhalalisha maamuzi hayo yakawa yameamuliwa na kikao halali.kimsingi mama huyu ni tatizo kabisa,na nilikuwa najiuliza ni kwanini hakutaka hata kujiridhisha?kanuni haisemi kuwa kama wabunge wameomba ruhusa kiasi cha kuathiri akidi kwa kiasi kikubwa hivyo ni makosa makubwa.

Tena anasema watu wengine wanapenda kuchelewesha muda.. Hakika Mimi nimesikia aibu utadhani mimi ndio niliyetenda makosa hayo. Huyu mama ni majanga Hana tiba..
 
Speaker amesahau majukumu yake na wajibu wake na ameshindwa kabisa kuendesha vikao vya bunge kama speaker,mwenyekiti wake Jenister Mhagama ana afadhali,kuna wakati speaker anajibu hoja za serikali wakati sio jukumu lake hata kama ana uelewa wa hoja husika.Sijawahi kuona speaker kama huyu hata mabunge ya watoto.Mungu inusuru Tz na janga hili la uongozi wa sasa ambalo halijawahi kutokea tokea uhuru wetu.
 
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?

Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Mkuu usemayo ni sahihi kabisa,nimeshuhudia nikashutuka sana kama sio kukulia kwenye maadili kidogo tusi la Serukamba linitoke kwa hasira. Pale alikuwa anaona kama anamkomoa Lissu kumbe anakidhalilisha kiti,chama chake na viongozi wa serikali walioko Bungeni kwamba hata wao wanakubaliana na uvunjifu wa kanuni zilizowekwa.
Kingine ambacho Wabunge wa CCM wameonyesha kuwa hawako smart ni kuwa wangeweza kumuunga mkono Lissu ili waonekane nao wako makini bali kwa ujinga wao waliishia kumcheka Lissu na kugonga meza zao kwa ushindi na kejeli. Kweli nakukubalia,sasa hivi CCM imekuwa idara ya uenezi ya Chadema na inafanya kazi makini kuipaisha Chadema kwa gharama nafuu tuu ya kukubali kashfa,kuzomewa na wabunge wengi na kufukkuzwafukuzwa bungeni.
 
Aliyewaroga CCM naona kesha kufa!
Hivi wanashindwa kabisa kujirekebisha hata katika mambo yaliyo waziwazi kama hili?
Hivi kila hoja inayotoka kwa mpinzani ni mbaya na haiwezi kuwa na maslahi kwa taifa?
Enyi wakoloni CCM,tumewaona, tumewaelewa; salamu zenu 2015.
 
Back
Top Bottom