Sparkling Water...

Sparkling Water...

Hehehe. Haya mamii, afu kuna kikao water. Hiyo safari water ipo bar zote. Mikocheni kuna petrol station next to tmj inafanya kazi 24/7, utapata kila aina ya flavored na sparkling water
 
asante, naamkia huko asubuhi na mapema.

Hehehe. Haya mamii, afu kuna kikao water. Hiyo safari water ipo bar zote. Mikocheni kuna petrol station next to tmj inafanya kazi 24/7, utapata kila aina ya flavored na sparkling water
 
Naomba mnitoe ushamba tafadhali nishaona hii kitu but sielewi ina tofauti gani na maji mengine
 
Yanasaidiaje kudumisha sasa?

Na sparkling juice drinks je? Champagne je?

Kwani Coca-Cola au fizzy drink ingine yoyote haiwezi kusaidia hayo mambo?

Mi naona ni kuibiana tu. Hii imenikumbusha smartwater.

Wenyewe wanavyoi-market eti sijui kuna vi electrolytes gani humo ndani yake na kwamba ukiyanywa sijui ndo yanakufanya uwe smart....

A6TXHtqqqt06AAAAAElFTkSuQmCC
 
mkuu what is this sparkling thing,nlijua maji tu kumbe hadi juisi..ndo zinakuwaje
 
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.
 
Nenda shoppers supermarkt utapata aina nyng sn
 
vinadumishaje mmu sasa?
Bey, sparkling drinks
ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi
za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi
bubbles.
 
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.

ahaaaa kumbe...thnx,bora mana usije fika sehemu ukaagiza vitu watu wakakushangaa..
 
Kabla mods hawajahamisha mada kwenda kwingine.

Natafuta sparkling water, hasa yale ya safari, nitapata wapi?

Naskia yanasaidia kudumisha mmu, msiniulize kiaje, kiaje

Heeee,kila siku maubunifu mapya!! Kongosho unamaanisha utendaji wako umeshuka??
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, yanaongeza nguvu sababu ni rahisi kunywa tena kwa wingi.

Yanasaidiaje kudumisha sasa?

Na sparkling juice drinks je? Champagne je?

Kwani Coca-Cola au fizzy drink ingine yoyote haiwezi kusaidia hayo mambo?

Mi naona ni kuibiana tu. Hii imenikumbusha smartwater.

Wenyewe wanavyoi-market eti sijui kuna vi electrolytes gani humo ndani yake na kwamba ukiyanywa sijui ndo yanakufanya uwe smart....

A6TXHtqqqt06AAAAAElFTkSuQmCC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom