Sparkling Water...

Sparkling Water...

kumbe unajijua kwa lugha?

Atakoma 'leyo'.

Jamaa sijamwelewa....kaandika utadhani anataka ligi wakati kitu kipo dhahiri.

Nimefungua maji ya Kilimanjaro hapa na sijaona hivyo viputo vidogo vidogo. Pia nimefungua Lucozade na hivi hapa naviona hivyo viputo.

Big difference!
 
Ni maji yaliyowekewa gesi ya carbon dioxide ya kutosha ili kuyafanya yatoe viputo vidogo vidogo kama vilivyopo kwenye soda kama za koka kola na pepsi.

Mueleweshe na vin diesel hajui soda water ina nini ndani
 
Hata beyonce anafupishwa kwa kuitwa bey...so is she your beyonce?

hahahha jmn hapa si unajua majina fekeroo...Bey nimkutie wapiii mie..i just love her ndo mana hilo jina na avatar
 
hahahha jmn hapa si unajua majina fekeroo...Bey nimkutie wapiii mie..i just love her ndo mana hilo jina na avatar

You can be a beyonce to someone..the question is who is that someone
 
Maji ya kawaida yako carbonated kama hizo sparkling drinks?

Na kwa vile asilimia 99 ya mambo yahusuyo lugha huwa sibahatishi, ngoja basi nikuwekee maana ya 'sparkling' katika muktadha wa vinywaji kutoka vyanzo vitatu vya mamlaka zenye heshima.

Tuanze na Cambridge Dictionaries Online

A sparkling drink is one that contains many small bubbles of gas:
Champagne
is a sparkling wine.


Tuje kwenye Oxford Learner's Dictionaries

2 (of drinks) containing bubbles of gas
Synonym fizzy

a sparkling wine

sparkling mineral water


Tumalizie na Merriam-Webster Learner's Dictionary


4 always used before a noun : containing bubbles
  • sparkling wine
  • sparkling grape juice

Haya, nimemaliza. Pia, waweza wewe mwenyewe kubofya hivyo viunganishi vya hivyo vyanzo ukaenda moja kwa moja kwenye tovuti za hizo kamusi.

Kuna neno ambalo lipo kwenye hizo fasili tatu. Nalo ni bubbles.

Bado unataka ligi?

nilisema hata h20 ina bubbles...je ni sparkling nayo?? hizo def zako nyingine wala sina nazo
 
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.

angalia hio bold, ndio nikauliza hata maji ya kawaida h2o huwa yana bubbles je nayo ni sparkling???
 
angalia hio bold, ndio nikauliza hata maji ya kawaida h2o huwa yana bubbles je nayo ni sparkling???

Hukuona baada ya neno 'bubbles' nikaweka hivyo vidoti na kuandika 'kama coca cola, pepsi'......ili kutoa mfano mzuri wa sparkling drinks. Ningeacha tu bila kutoa mifano hapo sawa, ningeweza kuona mantiki ya swali lako.

Sasa coca cola au pepsi bubbles zake ni sawa na hizo bubbles unazodai ni za maji ya kawaida? Tena kwenye sentensi ya pili nikaandika "Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated". Sasa hayo maji yako ya kawaida unayodai ya bubbles yanakuwa carbonated kama coca cola na pepsi?

Mbona unakuwa mgumu hivyo kuelewa wewe.....:loco:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom