SPAIN VS SWEDEN KAMA FIXED GAME

SPAIN VS SWEDEN KAMA FIXED GAME

Geechie

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
977
Reaction score
763
Yani ukiangalia uhuni wa Spain wanavyocheza siku hizi utadhani wanashiriki mambo ya kufix game, sio ile team ambayo ilikuwa inaua goal kibao, mfano game ya leo kama wanataka ifix isitoe magoli.
 
Michezo ya kubeti (kamari) haijawahi kumwacha mtu salama. Pole sana kama umeibetia hiyo mechi.

Huu mchezo hauitaji HASIRA
 
Over 0.5 first half imekataa sio? kamari hatari. Ukila hela ndefu wanakuchunguza,wakikuta una zaidi ya account moja hela hupewi. Ukiliwa hata kama una account 100 wanakaa kimyaaa.

(Baadhi ya kampuni)
 
Back
Top Bottom