Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu:

View attachment 2951723

2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo.

3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa."

4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka; mdogo mdogo watafika tu.

5. Wapalestina wakikinukisha kutaka haki yao, sisi tunalia lia tupewe katiba mpya mezani.; tunaogopa kuvunjwa miguu au kufa.

6. Kufa kitu gani kwenye kupigania haki?

7. Walikufa babu zetu wakpinga kutawaliwa, wakipigania uhuru; kwetu hao ni mashujaa.

8. Wafao wakipigania haki hufa kishujaa.
asichojua spain ni kwamba, hata akitambua kuwa ni taifa, lakini mmiliki wake ni israel, israel ndio anatawala hadi westbank, anaweza kuingia na kufanya chochote na kukamata yeyote, na ramani zote zipo kwenye database hadi raia. wanajulikana ni akina nani na wanaishi wapi. aliyetakiwa kuifanya palestina taifa ni israel, sio mtu mwingine.
 
Hivi kumbe palestina kutambuliwa na taifa la kikafiri Nako ni kupiga hatua?

1. Kama vIgogo wametambua sembuse kinyangarika wewe na bado hujishangai?

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

2. Watu kama nyie Bila kusomeshwa falsafa za vyama mtajua mnasimamia nini?

3. Kama hujui mnasimamia nini, tofauti yako na ling'ombe itakuwa ipi?

4. Siyo siri, ninyi ni wA kuhurumia ..
 
asichojua spain ni kwamba, hata akitambua kuwa ni taifa, lakini mmiliki wake ni israel, israel ndio anatawala hadi westbank, anaweza kuingia na kufanya chochote na kukamata yeyote, na ramani zote zipo kwenye database hadi raia. wanajulikana ni akina nani na wanaishi wapi. aliyetakiwa kuifanya palestina taifa ni israel, sio mtu mwingine.

1. Kwamba zaidi ya mataifa 140+ yanaitambua Palestina kama nchi isipokuwa wewe na bado hujishangai?

Countries that Recognize Palestine 2024

2. Si ujipige kifuani japo mara tatu ujisifie kwa ubumunda wako?
 
Upumbavu wane ni kukosa elimu ya mgogoro wa Arabs na Jews. Hizo sheria za UN Zilikataliwa na arabs ambazo ndio mnaziona za maana leo hii.. Arabs waliambiwa wahamie Jordan wakakataa wakataka vita Israel akasema oh kumbe mnataka kutuua wacha kipiganwe.. mkashindwa una nini la kuongea? mkaleta tena vita vita now mnadai mnaonewa.. endeleeni tu kupigana. Sheria za UN mlishazikataa hamuoni aibu?

Miji ni ya Waisrael na sio arabs. ukimaliza tuhamie Instambul pale Makao makuu ya Kiongozi wa Roma Mfalme Contanine makao makuu ya Ukristo Duniani waturuki wote waondoke

View: https://youtu.be/PmOMNBBp_64

UN lini mliikubali nyie waarabu mnaojiita wapalestina.

Hebu siki ukweli wa hili tatizo lako pengine hukufahamishwa before... Msikilize Ben Shapiro



View: https://youtu.be/dEoVzKyD_IM


Huo uarabu unaonivesha unauokota wapi ewe chawa?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
1. Kwamba zaidi ya mataifa 140+ yanaitambua Palestina kama nchi isipokuwa wewe na bado hujishangai?

Countries that Recognize Palestine 2024

2. Si ujipige kifuani japo mara tatu ujisifie kwa ubumunda wako?
hayatambui palestina kama nchi, wanatambua kama mamlaka (authority) yaani kabila ya watu ambao wanatawala bila kuwa na nchi. ukitaka kwenye westbank sasahivi unaomba visa Israel. Israel wanao uwezo kukuamuru hata wewe sasaivi uingie maeneo ya wapalestina au usiingie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom