Space burial

Space burial

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wenzetu wameanza kufanya haya maziko, i wish

na mimi ningezikwa huko, maana hautaoza
 
...hata usipooza mwili unafaida gani ? Zaidi wataupeleka maabara tu kwa ajili ya mazoezi ya madaktari...
 
Na unataka usioze ili ukawe souvenir ya nani? Tena mi nataka tuanze kuchoma maiti na kuweka majivu kwenye vikasha na box kama la posta.
 
Na unataka usioze ili ukawe souvenir ya nani? Tena mi nataka tuanze kuchoma maiti na kuweka majivu kwenye vikasha na box kama la posta.

unashauri kuchoma? wengine watashauri kubanika! Wengine kurosti, kukaanga, mchemsho n.k huoni utatuletea sintofahamu? Nway Da' kimeremeto hujambo?
 
Back
Top Bottom