Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Afrika Kusini imewasimamisha kazi mara moja maafisa wa polisi waliohusika na ukatili uliosababisha kifo cha dereva raia wa Msumbiji amabye walimburuza kwa numa kwa kutumia picku-up. Dereva alifariki baada ya kitendo hicho cha ukatili wa hali ya juu-kwa taarifa kamili click hapa S Africa suspends police over custodial death - Africa - Al Jazeera English
My take: ukatili huu na ule wa ulimboka pamoja na mwangosi haufanani? Je Serikali yetu inaona lakini wenzao wanavyothamini maisha ya kila mmoja. Hata hivyo, miongoni mwa mambo ya kujifunza ni pamoja na matumizi mazuri ya teknolojia yaliyowezesha kuchukuliwa kwa picha ya video ya tukio hilo.