Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,801
- 11,343
Safi sana. Japo ume-quote mzima wa mleta mada. Ila umeandika comment murua sana. Good one!Angeng'ang'ania angeumbuka sana kwa kuwa no confidence vote bungeni ingemuabisha sana,ingawa hata hivyo kaumbuka.Frankly nashangaa kwa nini amefanikiwa kubaki madarakani for so long.Sio Presidential material kabisa.Alipaswa kuwa mtaani kama DJ kwenye madanguro,tabia zake ni za kishenzi sana.