South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

Angeng'ang'ania angeumbuka sana kwa kuwa no confidence vote bungeni ingemuabisha sana,ingawa hata hivyo kaumbuka.Frankly nashangaa kwa nini amefanikiwa kubaki madarakani for so long.Sio Presidential material kabisa.Alipaswa kuwa mtaani kama DJ kwenye madanguro,tabia zake ni za kishenzi sana.
Safi sana. Japo ume-quote mzima wa mleta mada. Ila umeandika comment murua sana. Good one!
 
"No lives should be lost in my name, and the ANC should never be divide in my name."
---Jacob Zuma
Bado Mmoja katika SADC ambaye anapingana na kauli hiyo ya busara ya J. Zuma. Kweli ni kauli yenye BUSARA.

Huyu aliyebaki anasema: SIJIUZULU NG`O MPAKA DAMU YA MAMILIONI IMWAGIKE`. ´Time will tell.
 
Kweli mkuu hii nchi ina mambo mengi ya kushangaza. Na baada ya kuona jambo hili watu wengi hawalipendi wameona waanzie chini kwa chini kwa kuwadanganya wasomi wetu uchwara eti wawaongezee muda wa kustaafu so called professors na senior doctors wanaofundisha vyuoni. Hii ni janja siasa ili wakiibua la wanasiasa kuongezewa muda, hawa wanaojiita wasomi wakose pa kusemea maana watawahoji mbona mlipoongezewa muda wa kustaafu hamkukataa? Miaka sitini kustaafu ni sahihi hata uwe professor - wapo vijana nao wapewe hizo nafasi ili nao waweze kupanda na kufikia huo uprof.


profftobe ,
Mkuu,
Tuna watu vichwa Nazi sana.
Hapo wameishapiga pini. Binafsi, nimeisha jaza form za uraia wa huku New Zealand yaani wakibadili tu katiba kuwa rais wa milele au kutoa miaka 5 hadi 7 kwa term basi nauaga utanzania rasmi.

Huwa sipendi upoyoyo wa kidikteta uchwara mbuzi kama wa M7 na Kagame, Kabila na wengine kama hao uchwara mbuzi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom