South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

I love Malema! Is courageous, outspoken,a man of principles.
He fought Zuma fiercely. Zuma was a disgrace to black south Africans.
 
Fresh tu ajiuzulu.


Huyo ndiyo the first JK yaani k ni kwa matamshi, inaweza kuwa C au Chi kutegemea na lugha ya asili. kushindwa. Nafikiri Zuma inaandikwa Xuma if m not wrong>
wengine duniani waliokuwa viongozi wenye nguvu kubwa ni:
Julius Kambarage; John Kennedy;Jack Chirac;Julius Ceassar(Kaizari); William(Bill) Jefferson Clinton; Joseph Kabila Sr, Joseph Kabila(Jr), Joseph Mobutu; Kuku Ngendu wazabangu);Johachim Chisano;Jomo Kenyatta; Josia Mwangi Kariuki; Jakaya Kikwete; John Chiluba: Yoweri Kaguta Museveni (Yoweri= Joel); Mwingine siwezi kumtaja kwa ajili ya heshima yake kubwa kwa walimwengu wote na viumbe vyote.

Kwa mtazamo wangu watu wengi wenye initials za JK au hizo C and Chi, wanakuwa na vipawa fulani vikubwa: Juma Kaseja,..endelea. Zitto, kuna lugha ambazo zitto inatamkwa Jitto. Sasa Zitto Kabwe. n.k.In fact hata akiwa na either of the two J or K wanakuwa very powerful: Kagame; Kambona etc.... Kwenye kugombea madaraka ukikutana na mpinzani mwenye J or K, jiadhari : ..........Karia(TFF), Jamal Malinzi.
 
..arrogant...

Magonjwa Mtambuka
I got it.
It doesn't change the facts that, Tanzania is not ready to see a group of foolish people amending a constitution on terms limits from 5 years to 7 years or whatever new criteria which seems to extend the office time for president or MPs.

It's unacceptable and inhuman acts.
 
Magonjwa Mtambuka
Whoever supports the amendment of the constitution of the URT in the cause of changing the term limits (5 years per term to 7 years).

Any body who supports or take that move of constitutional amendment I regret calling them as foolish ones.
You are being tenebrous and vague here. Be precise in your answer please.
 
Mfumo wa kumpata raisi wa Afrika ya kusini ni wa hovyo,ubadilishwe uwe kama wa kwetu Tanzania
 
Under Zuma, many of the people shuffled into government jobs were:
  • unqualified,
  • ill-equipped or
  • corrupt.
He drew widespread criticism in 2016 when he dismissed a reputable finance minister, Nhlanhla Nene, and tried to install a former mayor of a small municipality with little experience in finance.
 
Kwanini unapata shida ya kwenda kusngaa mbali kote huko? Usiumize kichwa kuanza kuusumbua ubongo kusoma lugha ambayo sio yake kiasilia wakaytoio maajabu kama hayo hayo unakaa nayo humo humo ndani mwako........
 
Naona walimkomalia kweli kweli kisa katumia bilioni 26 kukarabati nyumba yake..
Mkuu sio hilo tu, huyu bwana ana mengi.Mtaani kwa vimwana yeye kama Mr.X,rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma yeye.Sijui hayo mengine ambayo hatuyajui, maana dhambi moja inakaribisha nyingine.Sasa kama ana hizi tunazozijua,si a jabu nyuma ya pazia zimejaa gunia.Zuma was simply an embarrassment to South Africa.
 
Back
Top Bottom