Kwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya bus
Wabongo hampendi kuvaa vitu vya bongo.....alafu pia kupata kazi iyo nayo ni mbwai kama huna refa.....in short tanzania inachangamoto nyingi sana.Ah mbona unataka kupasua mbavu za watu ww! Mashamba mbona yapo Tz ya kutosha, Hapa Tz mbona tunavaa sana viatu na unaweza tu kuanzisha kijiwe tukakutumia kuving'arisha viatu vyetu, na pia mbona tunavifaa vya kutosha vinavyohitaji ujuzi wako wa IT! Ukistaajabu ya Musa kweli utayaona ya filauni…wazee wetu wa zamani walipambana wasipelekwe nchi za mbali utumwani lakini kizazi cha leo kinakimbilia kwenda utumwani…pole yako!
Shida unapokuwa na mawazo ya kuajiriwa tu sio kujiajiri mwenyewe ndio inapokuwa changamoto kubwa!Wabongo hampendi kuvaa vitu vya bongo.....alafu pia kupata kazi iyo nayo ni mbwai kama huna refa.....in short tanzania inachangamoto nyingi sana.
Code: ._ _ _ _ ..... _.... .._ _ _ _ _ _ _ _ ._ _ _ _ …_ _ kama siyo hivyo, basi ni trh 15/2/13 yaani miaka minne na siku 6 hadi siku ya leo.Ndugu yangu shibekijijini baki bongo south unafuata nini? Huku kuna bastola nje nje hapafai kabisa
Sorry I mean dated 15 june 2013Code: ._ _ _ _ ..... _.... .._ _ _ _ _ _ _ _ ._ _ _ _ …_ _ kama siyo hivyo, basi ni trh 15/2/13 yaani miaka minne na siku 6 hadi siku ya leo.
Mkuu, ninajaribu unajimu kutaka kutanzua kitendawili kilichobeba avatar yako.
Mkuu hivi fast jet bado wanaenda southFastjet laki 3 tu, hiyo lakimbili iliyobaki unaanzia maisha, naskia south Wanaruhusu raia kutoka TZ akae miezi mitatu bila visa.. So hapo ukishaingia kule utajua ufanye nini ili uwakwepe polisi au upate work permit ya professional yako..
Mkuu pm mbona kimya?Stunter Fast jet hawaendi SA sasa hivi wateja hakuna imebaki SAA,ET Rwanda na KQ
Hawaendi sasa hivi..Mkuu hivi fast jet bado wanaenda south
Mkuu pm mbona kimya?[/QUOTE
Mkuu nipo nimekuona pm
Usafiri gani Wa anga ambao Ni cheap mkuu?Hawaendi sasa hivi..
Rwanda air na Ethiopia sema ukate wiki Mbili kabla ya safari ila pia inategemeana na season miezi ya sikukuu hiyo inayokuja huwa nauli inakua juu lakini Rwanda December ndio nauli inachangamka...Usafiri gani Wa anga ambao Ni cheap mkuu?
Shukran mkuuRwanda air na Ethiopia sema ukate wiki Mbili kabla ya safari ila pia inategemeana na season miezi ya sikukuu hiyo inayokuja huwa nauli inakua juu lakini Rwanda December ndio nauli inachangamka...
njia ya basi utamenyeka sana na mwishowe wakuibie kwenye hizo border, kwea mwewe masaa 3 ushafikaKwa njia ya Bus haifai?