South Africa nitafikaje?

Huko south ukifika kuwa mstaarabu na Fanya yote usiingie jela zao na kama utakuwa cape town kuwa raia mwema usiingie jela ya polymouth chonde chonde

Ushauri wangu ni huo tu. Kuna majamaa wengi wametoboa nawajua ila wengi wanafanya illegal activities huko south kuuza bangi,madawa
 
umetisha sasa IT jiongeze tafta office za watu wenzako wa TZ mjiunge upige kaz
 
Asante sana kwa ushauri mzuri sana.
 
Bro kiujumla nadhani hata ukisoma thread zangu nadhani unaweza kuelewa mimi ni mtu wa namna gani, kiujumla nina hofu ya Mungu. Na kwa umri nilio nao sidhani km naweza kufikia hatua ya kujiunga na makund mabaya, kiufupi na jitambua. Asante
 
Ah mbona unataka kupasua mbavu za watu ww! Mashamba mbona yapo Tz ya kutosha, Hapa Tz mbona tunavaa sana viatu na unaweza tu kuanzisha kijiwe tukakutumia kuving'arisha viatu vyetu, na pia mbona tunavifaa vya kutosha vinavyohitaji ujuzi wako wa IT! Ukistaajabu ya Musa kweli utayaona ya filauni…wazee wetu wa zamani walipambana wasipelekwe nchi za mbali utumwani lakini kizazi cha leo kinakimbilia kwenda utumwani…pole yako!
 
Ila nilicho gundua Cape Town ni mbali Sana, Hasa ukishukia Johannesburg.
 
Are you sure?
yes. ukifika Harare ndo utapata bus hadi Joburg au mji wowote utakaotaka kuishi. Kuhusu kuhonga njiani sio pesa nyingi ila andaa kafungu kidogo kutoa pale tunduma upande wa Zambia na Chilundu. huko kwingine hakuna rushwa kama una a valid passport.
 
yapo mavazi ya falcon yanaenda mpaka Harare ukifika hapo unapanda la jobegi ofisi zipo ubungo
 
Jamaa kaondoka jana tarehe 16/2/2017 asubuhi,safari ilianzia Dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…