Mkuu section uliopewa nzuri,halafu unatambaa step by step,sio kama Salary Slip,wakati mwingine anaonekana kama anataka kupata wazimu,kazi ya Character assassination unaonekana unaiweza,Uzuri wako huna papara,hata ukipata majibu ya kiyakinifu,unahamia issue nyingine,lakini unahakikisha umeacha vumbi watu tunajpangusaLeo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Mkuu sheria mpya ya habari inakwenda kuchuja kati ya maji na mafuta.Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.
Hata Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.
Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taalum imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.
Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Ni bora wameliona hilo kwa sababu magazeti yetu huwezi kufahamu ni lipi gazeti la udaku au la.Mkuu sheria mpya ya habari inakwenda kuchuja kati ya maji na mafuta.
Let fools carry themselves mkuu!Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Watanzania mmejaa ujuaji wa kipuuzi sana. Kila mtu kwenu nyinyi hajui analofanya!, nyinyi mnajua mnalolifanya?...hata JK alikuwa na watu wanampotosha sana...na mambo mengi yalikuwa yanakwama...hivyo hivyo huyu JPM nae amechukua trend hiyo hiyo ya washauri wabovu....haya yote yanatokana na ushkaji.....ukiweka washkaji kazini hata wakikushauri utumbo unabeba tu...na unaweza hata kuwaona watu makini kuwa wapuuzi....tuna shida sana nchi hii....