Sound klip

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,834
1,055
Wadau kuna sound klip moja ya kijinga sana mbapo mshkaji mmoja anaongea vitu kama yupo serious lakin vtu havirelate
Anasema "upepo... mwenyewe umekaa pale unacheka vhini unakuta feni inazunguka alaf simba " inaendela sana naipenda sana kama kuna mtu mwenyewe nayo naomba aiweke
 
Back
Top Bottom