Soul Boy

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,483
Hii ni movie ya Kikenya imechukuliwa kwenye mazingira ya Kibera: Nairobi's largest slum.
Hii filamu ni nzuri mno. Nimetoka kuiangalia sahivi DSTV.

Nimeiona Kibera kwa undani...

Natamani bongo movie wafanye kama hawa jamaa walivyofanya..
 
Back
Top Bottom