Soudybrown Nimesikitishwa na hili.

Sasa Nokia kisimu,
Nikuulize huwa unakosa kazi kabisa au jambo la maana la kufanya unaona uje utafute battle na mm?

Wew usha kuwa achana na mambo ya kitoto.

Na tatizo lenu vijana wa siku hizi mapenz ndio yanawavuruga vichwa sna, had huruma kijana kama wew demu wako akichukia basi na wew unakosa aman siku nzima.

Advice
Usikubali mapenz yakuendeshe had unakalibia kuchanganyikiwa.
Kaa na wanaume wenzako tabia ibadilike ufanye kazi za kiume mbali na mapenz.
Ndio bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa mm nitagombana vp na dada yangu ulichouliza nmekujibe ndio bibie,tatizo linatoka wapi dada yangu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…