sosoliso ni nini hii? ina ukweli?
Aiseee mzima
ukweli utoke wapi mimisa.. huyu Bishanga anatafuta wa kufa nae.. mtoto wa The secretary ameenda kupimwa DNA.. sasa anatapa tapa kabla majibu hayajatoka.. ha ha ha.. mie na Paloma ni kifo tu ndo kitakachotutenganisha...
Haya nifanyeje sasa nawe mrembo. I lav yu blaza!
uwanja ni wakommemalizaaaa?!?!? nataka kusema sasa:hatari::hatari::hatari:
I love you too Paloma.
ndoa yenye msimamo
ni ya Passion Lady na Ruttashobolwa!!
nyingine matukio kila kukicha lol!!khaaa!