nioe umwe mme wa pili basi.....
nasubiri uolewe, niwe mpango wako wa kando.
Utatolewa busha kupenda kuwa kando ya wake za watu.. Shaurilo..
huo ni mkwara wa zamani, saivi tupo ngangari hatuogopi kitu.
Na Ramadhan Ighondu wa ikulu humuogopi ww..?
Mh bebi wangu sosoliso ananioa kila uchao! Utasubiri sana!
basi yaishe bro.
basi yaishe bro.
Heeheeehe! Mtoto halali na hela ulivyokuwa mdogo kama piriton ghafla...kweli rama ighodu anatisha!