sosoliso ulie tu..........

sosoliso ulie tu..........

Ngoja niangalie ball mie.. Paloma hebu njoo na wine kwenye glass tuangalie Barca hapa.. Bishanga baadae kidogo..

ngoja nimwambie Paloma akupiem akwambie tuko wapi na mtasha,mwenzio nakamata ulabu wa bure....ushemeji bana....
 
Last edited by a moderator:
Mgoni wangu katoka na mtasha!? Paloma huyu huyu pole sosoliso kwakuwa wazungu wanatembea na gun najua ubabe ulioniletea sirahisi sasa sijiu Mentor ataripoti nini maana wazungu wanatembea na gun ukileta ubazazi utaisikia sikioni inapenya ila niushauri wa bure ukikaa kimya utakuwa umeshinda vita!
 
Last edited by a moderator:
We bwana wewe. . . . .umeshapata blanket huko arusha? Manake mpaka umeanzisha sred uko atown si mchezo? Cc Erickb52
Mgoni wangu katoka na mtasha!? Paloma huyu huyu pole sosoliso kwakuwa wazungu wanatembea na gun najua ubabe ulioniletea sirahisi sasa sijiu Mentor ataripoti nini maana wazungu wanatembea na gun ukileta ubazazi utaisikia sikioni inapenya ila niushauri wa bure ukikaa kimya utakuwa umeshinda vita!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mie shem wako kivipi Elli
Hahahahaaaaaa Shem Paloma kaza uzi tukamalizie ile nyumba ya Bibi pale Korogwe na kile kiwanja tufanye mpango tumjengee mtoto wa Baba yake baba yako pale Lushoto.....usiendeleee kukalia uchumi
 
Last edited by a moderator:
Haya Bishanga lete story zako sasa..
soso.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom