Sosoliso Huyoooooooooooooo

Sosoliso Huyoooooooooooooo

Ukute jamaa Jogoo hawiki

Ha ha ha.. Ninaomba unitake radhi Elli.. Muulize nanihi yumo humu humu ndani.. Akija kulala kwangu anajifikiria mwezi mzima...
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wimbo wa Celine Dion "LOVE DOESN'T ASK WHY"
 
Hivi sheria zetu za TZ zina ruhusu mapenzi dizine hii???
 
Ha ha ha sakapal.. nilipitia chuo cha mafunzo ya mahaba mie...

heheheee chazeiya ufundi stadi wa mahabat, I can smell that,na utamtambua mtu kwa matunda yake by the way y dd u put that avatar, is it really resembling u?(f u don't mind)
 
sosoliso
hapo kuna cha kurekebisha tena,
tena atamwachie kweli unavyoona?

Ha ha ha Mamndenyi Mie nitamuuliza my wife wangu kipi ambacho amekikosa kwangu.. Inawezekana jamaa kanizidi kwenye idara moja.. Aniambie ili nijirekebishe nimpatie hicho ili asiende tena huko..
 
Last edited by a moderator:
heheheee chazeiya ufundi stadi wa mahabat, I can smell that,na utamtambua mtu kwa matunda yake by the way y dd u put that avatar, is it really resembling u?(f u don't mind)

ha ha ha.. Hapana sakapal.. simfikii hata nusu.. i decided to use this avatar solely because it shows 2 opposing angles can warm up to each other & be happy..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Mamndenyi Mie nitamuuliza my wife wangu kipi ambacho amekikosa kwangu.. Inawezekana jamaa kanizidi kwenye idara moja.. Aniambie ili nijirekebishe nimpatie hicho ili asiende tena huko..

Kama kakuzidi pirikichi urefu unene utajirekebisha vipi?
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini mkate mkubwa saizi yake chai kikombe kimoja tu. Jamaa akimaliza mambo yeyu yale anakuwa mdogo na asante kibao za kufa mtu.
 
Ha ha ha Mamndenyi Mie nitamuuliza my wife wangu kipi ambacho amekikosa kwangu.. Inawezekana jamaa kanizidi kwenye idara moja.. Aniambie ili nijirekebishe nimpatie hicho ili asiende tena huko..

Hapo kwenye RED, sasa mimi niko hivi.
mtu mfupi.jpg
Halafu ukiangalia wewe ni bonge la jitu.
Mimi simbebi ila yeye ndo ananibeba, ila akija kwako wewe unambeba unadhani nitaacha kuibiwa.
 
we sosoliso yani sitaki kuamini umeshindwa kukanyanyanyua katoto ka watu.........lol!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom