Sorry guy! Wewe HAPANA

Kibaraka wa marekani!yani huyu akiwa rais na ushoga hapo hapo ruksa
 
Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi Mwaka 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! Ni Mwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1, Ni -----
2, Ni Mjinga
3, Mpumbavu
4, Mwehu
5,Mwendawazimu
6, Una Ubongo Wa kuku? (Msahaulifu)
Mbona Wenyewe Wana Maisha Bora! Kwani Wewe Au Wenzetu Sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema! Watumie Watanzania 50.
 

 
Yani huyu naye eti "anautaka" urahisi wa bongo....
 
Mama yangu, mkimpa urais huyu, ikulu itakuwa geto la kuchapia madem kama kina Anti Ezekiel....!:shetani:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…