TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 3,113
- 4,003
Hii Ni Njia Ambayo Mwanamke Anabeba Mimba Na Kuzaa Mtoto Ambaye Atakuwa Mtoto Wa Mwanamke Mwingine Naona Vibopa Wenye Pesa Nyingi Huko Marekani Kama Kina Gabrielle Union Na Kim Kadarshian Wameshatumia Hii Njia, Kinachofanyika Hapa Ni Kupandikiza Mbegu Za Mume Kwa Mwanamke Mwingine, Pindi Atakapo Jifungua Anakabidhi Mtoto Na Huo Ndiyo Unakuwa Mkataba Wa Kazi Umeishia Hapo,,