Soon wanasuguana hapo juu

Mbona hasira
Mkuu tatizo watu wanajifanya wajuqji sanaa na mengi yanawapita ukitaka uenjoy siasa na propaganda zake usijifungie kwenye box la uanaharakati, CCM au CHADEMA. Kipe nafasi kichwa na akili kutafakari
 
Kutokuwa mwanamtandao ndo kulimuwezesha kuwa makamu. Sifa hiyohiyo ndo inaweza kumpelekea kuwa raisi.
 
Nabii Tito ndiyo alisema hivyo?
 
Bora aje Mwinyi Jr.

The guy is presidential material haongei hovyohovyo,hafoki hovyo.Cool and humble guy.Yeye anafanya kazi.Makelele hakuna kazi inaongea.

Saivi Zenji wanajengewa nyumba(flats) za kuishi wananchi na huduma za afya bure mpaka dialysis,CT SCAN na MRI.

Pia maslahi ya watumishi yameboreshwa.Wanapewa mpaka posho za nauli plus mshahara.

Mwinyi for presidency 2030-2040.Tunahitaji uchumi wa buruu kama Zenji.
 
Mambo hayaendi hivyo. CCM wanafahamu vizuri pressure iliyopo na hali halisi ya mambo ilivyo. Hao wote hakuna hata mmoja atakayepenya, atatoka kusikojulikana kabisa. Sana sana labda Mwinyi. Mwinyi ndiye mtuu pekee anaekubalika na kufamika nje na ndani ya CCM labda , Najaribu kuwza
 
Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
VP hatakiwi kufanya ziara?

VP akikuta madudu anyamaze?

viongozi wasipokemea mnalalamika, wakikemea mnalalamika, mnataka kwani?
 
tatizo lao wanaifananisha ccm na TLP
 
Kikwete Rostam and the gang ndo wanapanga na nakuamua nyie tengenezeni baashiri zenu TU.
Hata kufungwa mnyiramba nguvu kubwa imetoka kwenye gang.
Mama anatumika TU. Masikini ya Mungu. Kuna mengi anapitia ila anajikaza maana tayari alishatumbukia shimoni.
 
Yani quality au kariba ya watu mnaowaongelea kama presidential material inanionesha wazi. Taifa limeshapotea

No intellect, no class, no charisma, no track record, no nothing zaidi ya authority, popularity na kadi ya chama

Tanzania is done, tumeisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…