Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,017
- 56,091
Acha waparuane
Acha kuzua taharukiVita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
hiyo barua ilikufikia wewe peke yako? Iweke hapa mkuu.Natamni ningekuwekea barua ya US wakimtaka mtu wao na kulaani mechanism ilotumika kutangaza kwamba imewachafua. Ujinga ni kudhan kila kitu mnajua, ni propaganda na kujifanya mnaweza sana kukonects dots. Kumbe kichwani mmejaa vinyesi
Achana nao hao hawajui chochoteNatamni ningekuwekea barua ya US wakimtaka mtu wao na kulaani mechanism ilotumika kutangaza kwamba imewachafua. Ujinga ni kudhan kila kitu mnajua, ni propaganda na kujifanya mnaweza sana kukonects dots. Kumbe kichwani mmejaa vinyesi
Mambo ya destuli yalikuwa zamani Mzee. Sasa hivi hakuna ramli za destuli za chama.Wote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!
Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!
Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo tulimstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!
HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!
tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu
Huyu jamaa ni kama yupo kututia moyo na kutu keep busy hadi mama yao atakapomaliza ngwe.Sasa mara alizeti, mara nini hapakuwa na ukweli wowote, bado tukuamini!
Labda kama mkatoliki aokote dodo mambo yakiwa magumu !!Mambo ya destuli yalikuwa zamani Mzee. Sasa hivi hakuna ramli za destuli za chama.
Hawa sio wa kuwaonea HURUMA, ikiwezekana WAUWANE tuVita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Mkuu umeona Bandiko la Odero! Tembelea utoe maoni yako.Ni vizuri ikitokea hii vita ya panzi, ni furaha kwa yule kunguru!.
P
Kiti kipi sasa?Kwa maono ya kinabii juu ya unabii uliowahi kutolewa na Nabii siku za nyuma ya kuwa watakuwa wanaviziana kukalia KITI,na hakuna atakayekalia KITI kwa muda MREFU kabla ya kuangushwa chini na kuingia mwingine mpya na hata yule mpya atakaye ingia na kukalia KITI naye ataviziwa /atawindwa kuangushwa chini ,na mzunguko huo utakuwa unajirudi vicious cycle hivyo hivyo kila mara.
Kila mmoja yupo ziara za kimkakatiVita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
Kwa hiyo ligi bora mkatoliki wa mchongo, huyo rais wa mawe ni mbwa mwitu aliye jivika ngozi ya kondooVita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,
Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi
🥲
Britanicca
mna uhakika bado ni chama chenu?,kwa sasa nyie ni sawa na kete za draft,mnatumika na mtu kutimiza lengo lakeWote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!
Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!
Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo mstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!
HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!
tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu