Sony home theater system model DAV-TZ140

Sony home theater system model DAV-TZ140

Ikizidi watts lazima ionekane bora maana kishindo chake kitakuwa zaidi ila hamna hometheatre ya 2000watts so far! Kati ya hizo brand mbili..sahivi ndio kwanza wanatoa za 1200watts!
Yeah ni kweli mkuu, Home Theatre nazozijua zote zinaishia 1200Watts, na ikizidi hapo unakuta ni Hi-Fi system ambayo nayo ni P.M.P.O Watts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mpenzi wa mziki mnene anaachaje kuujua huu mziki?! Atakuwa ayupo serious...DAV650 atabaki kuwa juu!
Ahaha mkuu mm jina ndy nalijua leo hlf kama mm nimejua home-theatre 2016.... nime-google nimeuona...sema sijawa ona mtu anao huu na umr wote huu. Huu mziki nimechek bei zake kwa dola..hakuna ambao ni hata wa laki 8 za kitz
20190405_185848_rmscr-1.jpeg
20190405_185719_rmscr-1.jpeg
20190405_185751_rmscr-1.jpeg
 
Hii ni Hi-Fi system mzee baba. Halafu ni old school ngumu kuipata shop kwa sasa ila kwa wapemba Ilala wanazo. Zinatoka zenji mitumba na haifiki hio laki 8!
Hi-fi music system ndio ndoto sitaki radio yeyote kwa sasa mpaka nisafiri au nipate mtu anajua mziki na anae aminika CHIEF MKWAWA nadhani Alisha elezea hapa hi-fi ndio baba yao baada ya home theater.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu anafananishaje kitu ambacho hata kutumia hajawahi? Yaani ufananishe yamaha na upuuzi mwingine huko.
Mkuu hizo sijawah ziona live, nimechk youtube. Bongo hizo hakuna huku labda mtu anunue kwa ebay

Mti wenye matunda.
 
Back
Top Bottom