Sony home theater system model DAV-TZ140

Zipo kwa deal mfano pale mliman city ipo. Arusha kwa benson zipo tena pale kuna home theatre zote na wao watakuambia kwenye hiz ya budget yaan chini ya 1.5m milion kushuka chini ni hii ya panasonic sony zote chal sio lg wala samsung. Kwanza bass yake kubwa. Pili surrounding zake kila moja ina spika mbili mbil tofaut na hiz za dav ambazo kila moja inaspika moja moja
Sema kuzipata sasa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa usiponunua Sony kwa mziki mkali wa nyumbani kwa soko letu la bongo utanunua kipi zaidi? Walau Panasonic Hometheatre ndio wanaweza cheza ligi moja na Sony japo adimu sana sokoni. Ila wengine matapeli tu hasa wale wakorea Shamesung na mwenzie LifeGoat!

Panasonic iko vizuri sana, Nina TV yake ya chogo inchi 21 ( visual yake usiipimie) na home theatre yake ni shida, ile kampuni wako vizuri nao.
 
Zipo kwa deal mfano pale mliman city ipo. Arusha kwa benson zipo tena pale kuna home theatre zote na wao watakuambia kwenye hiz ya budget yaan chini ya 1.5m milion kushuka chini ni hii ya panasonic sony zote chal sio lg wala samsung. Kwanza bass yake kubwa. Pili surrounding zake kila moja ina spika mbili mbil tofaut na hiz za dav ambazo kila moja inaspika moja moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu itabd kutembelea hawa dealers wao

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Zipo kwa deal mfano pale mliman city ipo. Arusha kwa benson zipo tena pale kuna home theatre zote na wao watakuambia kwenye hiz ya budget yaan chini ya 1.5m milion kushuka chini ni hii ya panasonic sony zote chal sio lg wala samsung. Kwanza bass yake kubwa. Pili surrounding zake kila moja ina spika mbili mbil tofaut na hiz za dav ambazo kila moja inaspika moja moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi hii Sony yangu nilinunua hapo hapo kwa Benson na kwa bei ya chini ya 1Million...

Labda tuseme kila mtu na kitu anachopenda, ni sawa sawa na uchaguzi wa magari, kuna wanaosema GX100 ni mashine kuliko Subaru na kuna wanaobisha hvo hvo!

Mimi nakubishia mkuu kwamba Panasonic ni zaidi ya Sony, chukua Panasonic ambayo ni 1000Watts na SONY 1000Watts zilinganishe utanambia....

Wewe unachukua li-Panasonic likubwa unakuta hata 2000Watts unakuja linganisha na hizi DAV zetu mkuu kweli aiseee si lazima tukalishwe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni hakika kabisa, kuna jamaa yangu mmoja alikuwa nayo. Enzi zile za Prison break ilikuwa ni shida!
 
Nashangaa wanyoiponda sony yaani sony ndo the best. Nyingine nzuri pia ni JVC original Sansui na Panasonic.
 
Mkuu mimi hii Sony yangu nilinunua hapo hapo kwa Benson na kwa bei ya chini ya 1Million...

Labda tuseme kila mtu na kitu anachopenda, ni sawa sawa na uchaguzi wa magari, kuna wanaosema GX100 ni mashine kuliko Subaru na kuna wanaobisha hvo hvo!

Mimi nakubishia mkuu kwamba Panasonic ni zaidi ya Sony, chukua Panasonic ambayo ni 1000Watts na SONY 1000Watts zilinganishe utanambia....

Wewe unachukua li-Panasonic likubwa unakuta hata 2000Watts unakuja linganisha na hizi DAV zetu mkuu kweli aiseee si lazima tukalishwe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikizidi watts lazima ionekane bora maana kishindo chake kitakuwa zaidi ila hamna hometheatre ya 2000watts so far! Kati ya hizo brand mbili..sahivi ndio kwanza wanatoa za 1200watts!
 
Yamaha na pioneer hizi ninazozijua mimi?
Kweli kabsa...hakuna chombo cha mziki cha maana kama sony. Lg nao cyo haba lakin hakuna kitu pale, washindabe kweny friji na tv basi. Kuna yamaha, pioneer, samsung na lg zenyew bado hazion ndani. Sony mziki wake upo clear sana.

Mti wenye matunda.
 
Back
Top Bottom