Sony home theater system model DAV-TZ140

Hakuna home theatre nzuri kama za Sony, kwanza mziiki mnene na wa uhakika, USB ina play kama kawaida sema inabagua aina za USB.
Sasa usiponunua Sony kwa mziki mkali wa nyumbani kwa soko letu la bongo utanunua kipi zaidi? Walau Panasonic Hometheatre ndio wanaweza cheza ligi moja na Sony japo adimu sana sokoni. Ila wengine matapeli tu hasa wale wakorea Shamesung na mwenzie LifeGoat!
 
Inaezekana ikawa sababu?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Yeahz, kuna jamaa juzi nilimpa maelekezo amefurahia sana. Mwanzo alikuwa hainjoi mziki wake.
Mie ninayo hio ikiwa kwenye default settings unaeza sema fake maana ziki linakuwa jepesi sana!
 
Ngoja nimchek bas akinitumia setting zake nita upload hapa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Inaezekana ikawa sababu?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kinachofanya iwe na mziki laini sana ni mpangilio wa Front speakers na hizo surrounds speakers. Mwambie ahakikishe speaker zenye alama L(Left) zote ziko upande mmoja na zenye R(Right) zote ziko upande mmoja pia! Unapochanganya front L & surround R upande mmoja huwa inafanya kama ku-neutralize Bass ya Sub-Woofer hapo! Pia Home theatre za Sony huwa surrounds speakers zinakaa kwenye position ya kuangaliana na Front speakers,sio zote unaweka mahali moja! Surronds weka juu nyuma ya makochi yako ziwe zinapiga kwa nyuma yako.

Pia kama anataka kuongeza Bass ahakikishe ameconnect HDMI na TV yake, then DAV iwe kwenye USB au DVD Mode then afungue SETUP, atapata settings za kurekebisha speakers zote kuanzia za mbele mpaka surrounds na level ya volume anayotaka kwa moja moja...kama asipoelewa nitawawekea video hapa ya namna ya kuiset SONY DAV-DZ650.

Hii system ni nzuri sana ni watu wanashindwa tu kuitumia. USB inachagua sana, inatakiwa uwe na Flash Disk genuine, hizi za hovyo hovyo haiplay kabisa na pia kwa USB inaplay Mp3 format na AAC tu kww AUDIO files wakati Video inaplay only XVID(.avi), ukiweka mp4 itacatch audio tu! Ila upande wa DVD ,audio inaplay Mp3, AAC na .flac formats, na video files upande wa DVD inaplay almost zote as long as umeburn CD yako kwa mfumo wa DVD Video. Ndo maana ikaitwa SONY DVD Hometheatre system. Wamefanya makusudi kuondoa luxury kwenye USB ili iendane na TV yake ya SONY BRAVIA ndo maana kwenye remote ya hiyo home theatre kuna mahali imeandikwa BRAVIA sync, hapo kama una TV ya SONY BRAVIA unakuwa unacontrol kila kitu kwa remote ya Radio.

Pia kwa wale wapenda movies huu ndo mdude wetu sasa, kwenye surrounds control kuna mode inaitwa DOLBY PL, hii ukifungua inaruhusu surrounds zipige kwa 5.1 Dolby stereo channels, kwa kweli utajihisi kama uko Cinema kama umepangilia speaker zako vizuri.

All the best, ila nikuhakikishie hakuna mziki wa maana kama SONY HOME THEATRE
Pict%20AmpAssign%205.1_OBAOILvkrqbqis.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongo bongo lakini. Tukija kidunia sony kwenye sound hafikiriwi kabisa.

All the best, ila nikuhakikishie hakuna mziki wa maana kama SONY HOME THEATREView attachment 1063029

Sent using Jamii Forums mobile app

Mti wenye matunda.
 
Hapo ni kwamba Sony wamejitahidi kutengeneza system ambazo ni affordable kwa watu wengi. Ila kuna systems za Hi-Fi ambazo sony hafikii kabisa ila pia hazigusiki bei mkuu, kwa mfano ukitane na Hisense Hi-Fi system ina Front speakers 4 na surrounds 4, na ina 8,000Watts Bass Blast Woofer mkuu! Mara ya mwisho niliona mwaka jana ilikuwa inauzwa 8.9Million mkuu

Pamoja mkuu...ukipata hyo video basi iweke hapa nimuanganishie na hayo maelezo na video juu..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Itapendeza sana mkuu...mana jamaa wangu anataka kuiuza bei ya hasara

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Naiupload mkuu muda sio mrefu...mwambie asiuze, kibongo bongo Sony ndo baba lao, labda kama atakuwa na mpunga mrefu akachukue za juu zaidi kama Hisense, Phillips, .....maana hata samsung au LG ni za kawaida sana hazikuti hyo SONY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabsa...hakuna chombo cha mziki cha maana kama sony. Lg nao cyo haba lakin hakuna kitu pale, washindabe kweny friji na tv basi. Kuna yamaha, pioneer, samsung na lg zenyew bado hazion ndani. Sony mziki wake upo clear sana.
Hakuna home theatre nzuri kama za Sony, kwanza mziiki mnene na wa uhakika, USB ina play kama kawaida sema inabagua aina za USB.
 
Ni hatar inaonekana huo mziki...ngoja nicheki review yake yutube
Hapo ni kwamba Sony wamejitahidi kutengeneza system ambazo ni affordable kwa watu wengi. Ila kuna systems za Hi-Fi ambazo sony hafikii kabisa ila pia hazigusiki bei mkuu, kwa mfano ukitane na Hisense Hi-Fi system ina Front speakers 4 na surrounds 4, na ina 8,000Watts Bass Blast Woofer mkuu! Mara ya mwisho niliona mwaka jana ilikuwa inauzwa 8.9Million mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiupload mkuu muda sio mrefu...mwambie asiuze, kibongo bongo Sony ndo baba lao, labda kama atakuwa na mpunga mrefu akachukue za juu zaidi kama Hisense, Phillips, .....maana hata samsung au LG ni za kawaida sana hazikuti hyo SONY

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu bado?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu panasonic home theatre ni zaid ya sony.
Sasa usiponunua Sony kwa mziki mkali wa nyumbani kwa soko letu la bongo utanunua kipi zaidi? Walau Panasonic Hometheatre ndio wanaweza cheza ligi moja na Sony japo adimu sana sokoni. Ila wengine matapeli tu hasa wale wakorea Shamesung na mwenzie LifeGoat!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dav zote haziifiki panasonic xh333 kwa mziku mkubwa na wenye quality. Dav kwenye mchujo hamna ktu

Back
Top Bottom