sony pumba sana ninalo hometheater ya sony inacheza mp3 tu
nimejaribu kila aina ya format ya VIDEO inakataa nikaamua kuwapelekea home na kuinunulia SINGSUNG DVD player nimeachana na mahometheater nina kinu cha radio cha kawaida Nakitumia kama AUX na kusikiza STATION tu
HOMETHEATER mizinguo Sa hv nachomemeka EXTNAL yngu kwenye TV nachek movie format zote natumia TV YA SINGSUNG 7bu inaOPTION nyingi ninazozitaka tofauti na haya MATV ya kisasa yana mambo mengi ambayo mengine waneyaacha ambayo kwangu muhimu sana nunua kitu kulingana nq mahitaji yako sio tu kufuata fasheni NK mambo mengine yanacost kama hapo sasa hta ufaidi unachotaka
mfn kama tv za SAMSUNG hazina VGAport wao HDMI or HDMI to DVI na zingine Hazina AUDIO output so kwa mimi wananiyeyusha
USHAURI nunua DVDplayer pandishia upate kucheck video sauti inaingia humo kipitia
AUDIO IN au AUX
Najuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot ya hii