Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Mkazi wa Migombani, Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Roda Mwanisongole ameweka msiba nyumbani kwake kuomboleza kifo cha Rais Magufuli ambaye anazikwa, leo Machi 26
Roda ni mama wa Brian Mollel ambaye alifariki mwaka 2020 kutokana na vurugu za Uchaguzi Mkuu ambazo zilitokea Tunduma
Roda amesema, Magufuli alimtembelea kipindi kile alichofiwa na kumfariji kwa kumpoteza mwanaye na sasa anaona namna ya kumkumbuka ni kuweka msiba nyumbani kwake
Mwili wa Hayati Dkt. Magufuli atazikwa Saa 9 Alasiri, Machi 26