Achana na mawazo ya kufikiria fikiria wazungu wanasemaje kuhusu matatizo yako. Ikiwa ni muhimu kujengwa ni muhimu tu.Kwani huko kwao uzunguni hakuna masafa kama hayo.Na mbona siku nyengine wanakwama viwanjani wakajilalia juu ya mabench.Kuna mzungua alikuwa nakuja Mbeya akaambiwa ni 850km toka dsm akauliza ni nchi ingine au bado ni Tz?Swali la pili akauliza is it necessary twende kwa gari?hamna fast moving trains au ndege maana ni umbali mrefu!
Dreva wake akamjibu this is Africa ivyo unavyovisema uku havipatikani
Haijalishi uwanja umejengwa na Kikwete au Mkapa, ila Mbeya wanahitaji Uwanja wa ndege wa kimataifa. Ila inaonesha ulianza kujengwa mwaka 2001.Hizo zote zinaweza kuwa ni sababu, na cha muhimu zaidi ni kuwa mbeya kuna "potential" kubwa ya kuweza kuzalisha mazao mapya yanayoharibika kwa muda mfupi ambayo yanahitaji kusafirishwa haraka yatokapo mashambani kama mauwa, matunda na mboga mboga. Kwa kuwa na uwanja wa ndege na ndege za uhakika za kwenda nje unaongeza uwezo wa kuuza hayo mazao nje kwa unafuu zaidi kwani huhitaji miundombinu ya kuyahifadhi kwa muda mrefu, hiyo inabaki kuwa kazi ya mnunuzi wako wa nje. Uwanja wa ndege wa Kimataifa kwa Mbeya ni muhimu sana na nnashangaa mpaka Kikwete ndiyo amekumbuka hilo na analitimiza, sijui wakuu wa kabla yake walikuwa wamelala?
government has finally affirmed that the fourth international airport currently being built in Mbeya Region will be opened this December. The confirmation comes as the project has lasted for a decade since it kicked off in 2001.
Source: TanzaniaNews24
Mimi Mmalawi, watu wa huko ni ndugu zangu na majirani zangu. Nilishaishi huko miaka ya nyuma. Ninajitahidi kufuatilia maendeleo yao kama majirani zangu na pia nina assets zangu huko.Ni kweli kabisa, Mbeya nzima kwa siku kuna magari makubwa zaidi ya kumi na sita (16) yanayotoka hapo kwenda Dar es Salaam (SUMRY Matatu, Mbeya Express Moja, Green Star Moja, Hekima Moja, Lutweledi Moja, Budget Moja, Upendo Moja, Prince Muro Moja, Nganga Moja/Mbili, Al Saed Moja, Abood Moja/Mbili, Hood Moja/Mbili, Jenjela Moja, na mwengine taja mwenyewe).*
Duh uko juu ila na shabiby wameanza safari ya dar mbeya. Hope we ni Mwa-Ozzie*
Lakini si ndio wawekezaji mnaowataka kila siku?Achana na mawazo ya kufikiria fikiria wazungu wanasemaje kuhusu matatizo yako. Ikiwa ni muhimu kujengwa ni muhimu tu.Kwani huko kwao uzunguni hakuna masafa kama hayo.Na mbona siku nyengine wanakwama viwanjani wakajilalia juu ya mabench.
Mimi Mmalawi, watu wa huko ni ndugu zangu na majirani zangu. Nilishaishi huko miaka ya nyuma. Ninajitahidi kufuatilia maendeleo yao kama majirani zangu na pia nina assets zangu huko.
kuna tetesi kuwa kutokamilika kwa uwanja kunatokana na mivutano ya kisiasa eti watu wa Kas hawapendi maendeleo ya KusiniFaidhafoxy nakukatisha uwanja wa Mbeya alianza kujenga Mkapa tena kwa kasi kubwa. Ila alipoingia Kikwete kasi hiyo imepungua sana. Jaribu kufuatilia sina maana ya kumpinga Kikwete la hasha, ila tu naweka kumbukumbu sawa hapa.
Faidhafoxy nakukatisha uwanja wa Mbeya alianza kujenga Mkapa tena kwa kasi kubwa. Ila alipoingia Kikwete kasi hiyo imepungua sana. Jaribu kufuatilia sina maana ya kumpinga Kikwete la hasha, ila tu naweka kumbukumbu sawa hapa.
Wana JF,
Hili jamvi kweli ni la ma great thinkers, nimependa michango yenu.
Ila kwa Fazafoxy kidogo sijamuelewa anakoelekea ktk thread hii, maana inajulikana kabisa uwanja huu wa mbeya hadi sasa tangu uanze kujengwa imepita miaka kumi lakini, labda kwa bahati mbaya au makusudi tu, anaeleza kuwa ni juhudi za JK.
Wakati kwa hakika JK ndio analaumiwa kwa kuchelewesha kumalizika uwanja huu kutokana na kisirani chake.
Wakati uwanja huu unaanza kujengwa JK hakuwa Rais, hivyo ni juhudi za Mkapa labda na Mzee Mwinyi,
Ni kituko kwa kiwanja cha aina hii kujengwa kwa zaidi ya miaka kumi ........
Hizo zote zinaweza kuwa ni sababu, na cha muhimu zaidi ni kuwa mbeya kuna "potential" kubwa ya kuweza kuzalisha mazao mapya yanayoharibika kwa muda mfupi ambayo yanahitaji kusafirishwa haraka yatokapo mashambani kama mauwa, matunda na mboga mboga. Kwa kuwa na uwanja wa ndege na ndege za uhakika za kwenda nje unaongeza uwezo wa kuuza hayo mazao nje kwa unafuu zaidi kwani huhitaji miundombinu ya kuyahifadhi kwa muda mrefu, hiyo inabaki kuwa kazi ya mnunuzi wako wa nje. Uwanja wa ndege wa Kimataifa kwa Mbeya ni muhimu sana na nnashangaa mpaka Kikwete ndiyo amekumbuka hilo na analitimiza, sijui wakuu wa kabla yake walikuwa wamelala?
Mkuu huyi Muache tu yeye kazi yake kusifia nzi mwenzake jk hawachelewi kukurukaFaidhafoxy nakukatisha uwanja wa Mbeya alianza kujenga Mkapa tena kwa kasi kubwa. Ila alipoingia Kikwete kasi hiyo imepungua sana. Jaribu kufuatilia sina maana ya kumpinga Kikwete la hasha, ila tu naweka kumbukumbu sawa hapa.
Jk ataweka na zimamoto za bajaj pia?Mkapa ilikuwa ni kiwanja cha hadhi ya kitaifa (Domestic Airport) na kama kawaida yake alimpa mkandarasi "bomu" kama ilivyokuwa kwa Rada na Ndege na huyo Mkandarasi kashindwa na watu washagawana chao kama kawaida.
Kikwete ndio kachoresha upya ramani za uwanja wa Kimataifa na tayari mambo yameshaanza, moto moto.
Mkapa ilikuwa ni kiwanja cha hadhi ya kitaifa (Domestic Airport) na kama kawaida yake alimpa mkandarasi "bomu" kama ilivyokuwa kwa Rada na Ndege na huyo Mkandarasi kashindwa na watu washagawana chao kama kawaida.
Kikwete ndio kachoresha upya ramani za uwanja wa Kimataifa na tayari mambo yameshaanza, moto moto.
1. Mbeya ndio hub ya mikoa ya kusin kibiashara ie iringa,ruvuma na RukwaMobile
2. Mbeya ndo inalink na Burundi,DRC,Malawi na Zambia kibiashara so kukiwa na flight itarahishisha hawa watu kuja dsm au kwenda maeneo mengine ya Tz.Ndo maana daily basi si chini ya Nne hutoka Tunduma kwenda dsm same from Kyela kwenda Dsm
3.Northern malawi na northern Zambia mahitaji yao mengi hutegemea mbeya kwa kuwa commercial hub zao ie Lusaka na Blantyre ziko umbali wa zaidi ya 1000km toka miji kama ya kasama,Karonga,Mzuzu,Mpulungu
4.Mbeya as a city deserve to have an international airport
5.Hii itarahisisha export ya bidhaa kama maparachichi na maua to mention but a few
6.Wawekezaji itakuwa raisi kuja kuvinjari na kutafuta vitu vya kuwekeza kuanzia kwenye kilimo mpaka madini
FaizaFoxy ni tatizo.Miongoni mwa watu wanaojulikana Lakini langu la msingi ni serikali kutokuona inapoteza mapato mengi sana kwa kutokua na uwanja huko,wakidhani wanaikomoa mby kumbe ni ujinga tu.Ndio maana msimamo wangu ni CCM kuondoka madarakani ili watu tuanze na mawazo mapya.Tuache mawazo mgando yaliyopo sasa.